PUMZIKA KWA AMANI
SPC tunakutakia pumziko la amani katika nyumba yako ya milele waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.
SPC tunakutakia pumziko la amani katika nyumba yako ya milele waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa.
Happy Birthday Madam President, we wish you a long life. thank you for everything you do for our country
Uongozi wa surveyed plots company limited unatoa pole kwa wahanga wote walifikwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa.
Wizara ya ardhi ilikabidhiwa jukumu la kusimamia sekta ya milki kwa mujibu wa tangazo la serikali namba 385 lililotolewa tarehe 7 mei 2021,
Karibu tukuhudumie kwa huduma bora na rafiki! Surveyed Plots Company Limited tunakuwezesha kumiliki 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐢𝐩𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐤𝐢𝐝𝐨𝐠𝐨!
It was beutful in Arusha National Park, well spent SPC TEAM, a day to remember 2023
May the spirit of the holiday be with you throughout the new year.
Funga mwaka kibabe kwa kumiliki kiwanja chako , ofa mbali mbali tumekuletea.
siku za kuona ni jumatano, jumamosi na jumapili kila wiki.