Selling plots by installement | Tittle Deeds | Ownership Transfer | Land Valuation | Building Permits
Customer Support & Sales
+255765 332 331 | +255 743 880 440
Working time
Mon - Fri : 08:00 - 17:00                                 Sat: 08:30 - 13:30

Uncategorized

Uncategorized

HATI MILIKI

Mteja wetu akipokea HATI MILIKI yake!. Sasa tumekurahisishia mteja wetu…𝙈𝙄𝙇𝙄𝙆𝙄 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙆𝙄𝙇𝙄𝘾𝙃𝙊𝙋𝙄𝙈𝙒𝘼 na ulipie kidogo kidogo 𝘽𝙄𝙇𝘼 𝙍𝙄𝘽𝘼!!🔥🔥🔥🔥

Uncategorized

HATI MILIKI

Mteja wetu akipokea HATI MILIKI yake!. Sasa tumekurahisishia mteja wetu…𝙈𝙄𝙇𝙄𝙆𝙄 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙆𝙄𝙇𝙄𝘾𝙃𝙊𝙋𝙄𝙈𝙒𝘼 na ulipie kidogo kidogo 𝘽𝙄𝙇𝘼 𝙍𝙄𝘽𝘼!!🔥🔥

Uncategorized

HATI YAKO KIWANJA CHAKO

Je una HATI? Sasa tumekurahisishia mteja wetu…𝙈𝙄𝙇𝙄𝙆𝙄 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙆𝙄𝙇𝙄𝘾𝙃𝙊𝙋𝙄𝙈𝙒𝘼 na ulipie kidogo kidogo 𝘽𝙄𝙇𝘼 𝙍𝙄𝘽𝘼!!

Uncategorized

SPC FULL PACKAGE

SPC FULL PACKAGE 📦
Tumeboresha huduma zetu, Sasa huduma zote unazipata kwetu.

Hii ndio dhana ya full package 📦
Katika KIFURUSHI hiki, tunahakikisha mteja ANAPATA…

1. Kiwanja Kilichopimwa
Hapa tunahakikisha mteja anapata kipande Cha Ardhi Chenye mipaka halisi na ukubwa unaofaa kwa makazi ya mtanzania

2. Hati miliki
Hapa tunahakikisha mteja anapata nyaraka halali za Umiliki wa kiwanja husika, hii itamsaidia mteja Kuepukana na migogoro isiyokuwa ya Lazima

3. Ramani ya Nyumba
Hapa mteja atapata mchoro wa Nyumba anayoihitaji kulingana na ukubwa wa eneo lake, hii itaepusha usumbufu kwa mteja kutafuta msanifu majengo kwa ajili ya kumtengenezea ramani ya kiwanja chake

4. Kibali Cha ujenzi
Baada ya hatua zote mwisho kabisa tutahakikisha mteja wetu anapata kibali kwa ajili ya kuanza ujenzi kwenye eneo lake, hii itamsaidia Kuepukana na usumbufu wa kusimamishwa ujenzi au kubomolewa mjengo wake

Hii ni FULL PACKAGE 📦, vyote hivi unavipata kwetu kwa Bei nafuu KabisaRead more

Hii ni FULL PACKAGE 📦, vyote hivi unavipata kwetu kwa Bei nafuu Kabisa
Read more