Selling plots by installement | Tittle Deeds | Ownership Transfer | Land Valuation | Building Permits
Customer Support & Sales
+255765 332 331 | +255 743 880 440
Working time
Mon - Fri : 08:00 - 17:00                                 Sat: 08:30 - 13:30

Uncategorized

Uncategorized

𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗔𝗠𝗣𝗔𝗜𝗚𝗡

𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗔𝗠𝗣𝗔𝗜𝗚𝗡

Ilikuwa ni siku nzuri sana kwetu na team nzima ya JIONI YA LEO (EFM) kupata nafasi ya kipekee katika kushare fursa kwa vijana juu ya kuwekeza kwenye ardhi ardhi iliyopimwa ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima….Ni Wakati Wako Sasa Kumiliki Kiwanja Kama Kijana Wa Kisasa🔥Ardhi haiozi wekeza sasa kwa maisha ya baadae

Efm radio
Read more

Uncategorized

SPC FULL PACKAGE

Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako

Uncategorized

KARIBU

Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako.

Uncategorized

𝗝𝗘 𝗨𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢?

𝗝𝗘 𝗨𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢????
📌𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨:
Ili Kutambulila Kisheria Kama Wewe Ni 𝗠𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗛𝗔𝗟𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢 Basi Hakikisha Pia Una 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢!!