πππππ‘π π‘π πππͺππ‘ππ πππ π£ππππ‘
πππππ‘π π‘π πππͺππ‘ππ πππ π£ππππ‘
Ilikuwa ni siku nzuri sana kwetu na team nzima ya JIONI YA LEO (EFM) kupata nafasi ya kipekee katika kushare fursa kwa vijana juu ya kuwekeza kwenye ardhi ardhi iliyopimwa ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima….Ni Wakati Wako Sasa Kumiliki Kiwanja Kama Kijana Wa Kisasaπ₯Ardhi haiozi wekeza sasa kwa maisha ya baadae
Efm radio
0 comments
Write a comment