SPC FULL PACKAGE
Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako
0 comments
Write a comment