PUMZIKA KWA AMANI RAIS MSTAAFU

Surveyed plots company limited tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa

na marafiki kwa kuondokewa na Rais mstaafu wa awamu ya pili Tanzania mheshimiwa ALI HASAN MWINYI, Mpwendwa wetu apumzike kwa amani. AMEN.