MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MILKI

Wizara ya ardhi ilikabidhiwa jukumu la kusimamia sekta ya milki kwa mujibu wa tangazo la serikali namba 385 lililotolewa tarehe 7 mei 2021,

nasi SURVEYED PLOTS COMPANY LIMITED tukiwa kama wadau kwa kuunga mkono jitihada za serikali tumeshiriki mkutano mkuu wa sekta ya milki ili kujadili na kufikia maazimio mbalimbali ya kukuza sekta ya milki nchini.

Kwa pamoja tunasema ” *Urasimishaji wa Shughuli za Mawakala wa Milki kwa Maendeleo ya Taifa ”

#wizarayaardhi#litp_tanzania#surveyedplotscompanyltd#spc