FUNGA MWAKA KIBABEEE
𝐘𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐊𝐈𝐖𝐀𝐍𝐉𝐀 𝐍𝐀 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐃𝐎𝐂𝐔𝐌𝐄𝐍𝐓𝐒 𝐍𝐃𝐎 𝐇𝐀𝐁𝐀𝐑𝐈𝐈𝐈𝐈𝐈 ✨
𝘽𝘼𝘼𝘿𝘼 𝙔𝘼 𝙆𝙐𝙉𝙐𝙉𝙐𝘼 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙃𝘼𝙆𝙄𝙆𝙄𝙎𝙃𝘼 𝙐𝙉𝘼 𝙃𝘼𝙏𝙄 𝙈𝙄𝙇𝙄𝙆𝙄 𝙔𝘼 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝘾𝙃𝘼𝙆𝙊!!
📌hii itakufanya ujulikane 𝙆𝙄𝙎𝙃𝙀𝙍𝙄𝘼 kama wewe ndo mmiliki Halali wa Kiwanja icho!!
📌utapadisha 𝙏𝙃𝘼𝙈𝘼𝙉𝙄 kiwanja chako,kama hata utataka kuuza au kukodisha(watu wanataka uhakika wanapowekeza pesa zao au kununua
📌𝐃𝐇𝐀𝐌𝐀𝐍𝐀 𝐁𝐀𝐍𝐊/𝐌𝐀𝐀𝐊𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈(hati ya KIWANJA chako kinaweza kua 𝐝𝐡𝐚𝐦𝐚𝐧𝐚 kwako katika kupata mikopo au kuwekwa kwa na Dhamana maakamani)
📌utaepuka 𝙈𝙄𝙂𝙊𝙂𝙊𝙍𝙊 isiyo ya Lazima(kuingiliana kwa mipaka na jirani yako au kiwanja kuuzwa Mara nyingi,wewe mwenye Hati unakua na 𝙃𝘼𝙆𝙄 ya kile 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 popote pale kesi itakapo pelekwa!!
📌hakikisha unanunua 𝙆𝙄𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼 𝙆𝙄𝙇𝙄𝘾𝙃𝙊𝙋𝙄𝙈𝙒𝘼! @surveyed_plots_company_ltd
0 comments
Write a comment