ZAWADI KABAMBE MSIMU HUU WA SABASABA

Msimu huu wa sabasaba tumewaletea wateja wetu zawadi mbalimbali za punguzo la bei,

changamkia fursa hii kwa kufika katika banda letu kwenye maonesho ya sabasaba, banda namba 36 na 37.