Kisheria si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga jengo bila ya kuwa na;
– Uhalali wa umiliki wa ardhi mahali unapojenga.
– Kibali cha ujenzi kutoka mamlaka husika.
Karibu surveyed plots campany limited tunakusaidia kufuatilia kibali cha ujenzi katika halmashauri husika.
0 comments
Write a comment