SITE VISIT

Habari! Napenda kukukaribisha Jumamosi na Jumapili hii Kutembelea Miradi yetu yote inayopatikana
1. Kigamboni
2. Bunju A
3. Kibaha misugusugu
4. Bagamoyo zinga
5. ChalinzeSafari zitaanza saa 3:00 asubuhi
✅Makutano ni Makumbusho
Mwanga Tower, Floor ya 13
✅Usafiri upo kwenda na kurudi site (nauli 10,000)

Wasiliana nasi kufika site🤝