π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—žπ—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 π—–π—”π— π—£π—”π—œπ—šπ—‘

π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” 𝗑𝗔 π—žπ—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 π—–π—”π— π—£π—”π—œπ—šπ—‘

Ilikuwa ni siku nzuri sana kwetu na team nzima ya JIONI YA LEO (EFM) kupata nafasi ya kipekee katika kushare fursa kwa vijana juu ya kuwekeza kwenye ardhi ardhi iliyopimwa ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima….Ni Wakati Wako Sasa Kumiliki Kiwanja Kama Kijana Wa KisasaπŸ”₯Ardhi haiozi wekeza sasa kwa maisha ya baadae

Efm radio