HAPPY FATHER DAY

SPC tunawatakia siku njema ya wababa duniani, katika kusherekea siku ya baba duniani spc tunatoa mradi mpya kabisa wa bei nafuu kigamboni buyuni ili kuwawezesha kila baba amiliki kiwanja chake na kuwa baba mwenye nyumba. kiwanja ukubwa wa sqm 500 bei nzima ya kiwanja ni 5M, na malipo kidogo kidogo adi miezi 20, yaani unalipa 250,000 kila mwezi. Anza na 250,000 tu. karibuni sana. HAPPY FATHER’s DAY.