SITE VISIT
Karibu kutembelea miradi yetu kila siku ya jumatano, jumamosi na jumapili. Usafiri wa kwenda site upo, Muda kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Karibu kutembelea miradi yetu kila siku ya jumatano, jumamosi na jumapili. Usafiri wa kwenda site upo, Muda kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako
Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako.
Sisi Tuko tayari kukuhudumia wewe mteja wetu huduma bora na rafiki. Karibu
𝗝𝗘 𝗨𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢????
📌𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨:
Ili Kutambulila Kisheria Kama Wewe Ni 𝗠𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗛𝗔𝗟𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢 Basi Hakikisha Pia Una 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢!!