TANZANIA CONSTRUCTION SECTOR DAY 2024

Kama wadau, tunayofuraha kushiriki katika hafla TANZANIA CONSTRUCTION SECTOR DAY 2024 🏗️, Iliyoandaliwa na The Chamber of Construction Industry of Tanzania. Tumejifunza mengi kupitia wadau, Panelists kutoka TRA, TPA, BOT n.k

Pia tulipata wasaa wa kujumuika na Mh. Kitila Mkumbo ( Waziri wa Mipango na Uwekezaji.

Kama wadau wakubwa wenye mchango kwenye Sekta ya Ujenzi. Surveyed Plots inatambua umuhimu wa Ardhi kwa wawekezaji na Wajenzi kwa kuweza kuwasaidia wateja na wadau mbalimbali katika swala zima la uwekezaji katika ARDHI. Hivyo, ushiriki huu ni mabadiliko chanya na chachu kwetu kuendeleza utoaji wa huduma zetu za Ardhi

Tunawakaribisha wote kuwekeza katika Ardhi.

HATI YAKO, KIWANJA CHAKO.