INSTAPRENYUA EVENT
Hello Tanzania! tulifurai kushiriki katika event iliyoandaliwa na CRDB BANK inaitwa instaprenyua event iliofanyika makao makuu ya jengo lao. Event hii ilikuwa inahusu wafanya biashara wote na wawekezaji. kauli mbiu ya event hii ilikuwa inaitwa < INSTAPRENYUA SMATIKA BIASHARA> kulikuwa na waongeaji mbalimbali ambao walikuwa wanaelimisha kuendesha biashara mitandaoni ikiwemo DUKA HURU, JACKLINE WOLPER, KELVIN KIBINJE na walikuwa wanaongelea mada tofauti tofauti, pia kulikuwa na wasanii mbali mbali wakitoa burudani kama CHINO KID. Sisi kama kampuni tulijifunza mengi ili kuboresha huduma zetu kwa wateja wetu, na kauli mbiu yetu inasema, HATI YAKO NDO KIWANJA CHAKO.
0 comments
Write a comment