FAIDA YA UPIMAJI NA UMILIKI ARDHI
𝐔𝐤𝐨𝐦𝐛𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐜𝐡𝐮𝐦𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐧𝐚𝐝𝐚𝐦𝐮 𝐢𝐤𝐢𝐰𝐞𝐦𝐨 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐝𝐮𝐦𝐮 (𝐀𝐫𝐝𝐡𝐢).
𝐈𝐥𝐢 𝐮𝐰𝐞𝐳𝐞 𝐤𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐚𝐫𝐝𝐡𝐢 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐞𝐫𝐢𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐚𝐫𝐝𝐡𝐢 𝐢𝐥𝐢𝐲𝐨𝐩𝐢𝐦𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮.
NI NINI FAIDA YA UPIMAJI NA UMILIKI ARDHI?
1 . Utambuzi wa kisheria kuwa yeye ni mmiliki halali wa kipande hiko cha ardhi.
2 . Kuongeza thamani ya ardhi yako.
3 . Kuongeza usalama katika ardhi yako, hivyo kuzuia mtu yeyote kujimilikisha au kufanya shuguli yeyote katika ardhi yako bila ridhaa yako.
4 . Kutumika kwa hati miliki yako kama dhamana katika uombaji wa mikopo benki na taasisi za kifedha.
5 . Kuitumia rasilimali ardhi kwa maendeleo ya kiuchumi.
6 . Kuondoa migogoro na majirani zako na pia usumbufu pindi unapotaka kuiuza ardhi hiyo.
Karibu Surveyed Plots Company LTD kwa huduma ya ushauri juu ya ardhi pamoja na mambo yote yanayohusisha upimaji ardhi.
📍Ofisi Makumbusho
Mwanga Tower
Floor ya 13
HATI YAKO KIWANJA CHAKO
0 comments
Write a comment