SITE VISIT
Karibu kutembelea miradi yetu kila siku ya jumatano, jumamosi na jumapili. Usafiri wa kwenda site upo, Muda kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Karibu kutembelea miradi yetu kila siku ya jumatano, jumamosi na jumapili. Usafiri wa kwenda site upo, Muda kuanzia saa 3:00 Asubuhi
Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako
Ndugu mteja! Usihangaike tena kutafuta huduma bora, SPC tumekulete huduma rafiki itakayokuwezeshe kumiliki Kiwanja chako kilichopimwa kwa uhakika, Kupata hati miliki kutoka wizara ya ardhi yenye majina yako na zaidi kukufuatilia kibali cha ujenzi na kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako.
Sisi Tuko tayari kukuhudumia wewe mteja wetu huduma bora na rafiki. Karibu
𝗝𝗘 𝗨𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢????
📌𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨:
Ili Kutambulila Kisheria Kama Wewe Ni 𝗠𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗛𝗔𝗟𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢 Basi Hakikisha Pia Una 𝗛𝗔𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗢!!
Hello Tanzania! tulifurai kushiriki katika event iliyoandaliwa na CRDB BANK inaitwa instaprenyua event iliofanyika makao makuu ya jengo lao.Read more
𝐔𝐤𝐨𝐦𝐛𝐨𝐳𝐢 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐜𝐡𝐮𝐦𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐧𝐚𝐝𝐚𝐦𝐮 𝐢𝐤𝐢𝐰𝐞𝐦𝐨 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐝𝐮𝐦𝐮 (𝐀𝐫𝐝𝐡𝐢).Read more
Kama wadau, tunayofuraha kushiriki katika hafla TANZANIA CONSTRUCTION SECTOR DAY 2024 🏗️, Read more