SPC FULL PACKAGE
Spc Fullpackage: Ujenzi wa Nyumba Bila Shida
Karibu Surveyed Plots company limited , mahali ambapo kila kitu unachohitaji kwa ujenzi wa nyumba kinapatikana ofisini kwetu. 🏢 Tumeandaa package kamili inayojumuisha kiwanja kilichopimwa, hati miliki, kibali cha ujenzi, na ramani ya nyumba.
🏠 Kiwanja kilichopimwa
📜 Hati miliki
🛠️ Kibali cha ujenzi
🏡 Ramani ya nyumba
Leo, tujadiliane zaidi kuhusu kibali cha ujenzi na jinsi kinavyopitia mikono ya watu mbalimbali kama Town Planner. Anahakikisha kuwa ramani ya nyumba inakidhi matumizi sahihi ya kiwanja kama yalivyoandikwa kwenye hati miliki na pia angalia zooning regulations ili kuhakikisha vifaa vinavyotumika kwenye ujenzi wa nyumba vinakubaliana na sheria za eneo husika. 📏
Kwa maelezo zaidi na kujipatia huduma zetu, karibu ofisini kwetu, Makumbusho Mwanga Tower, ghorofa ya 13. Tunafurahi kukusaidia kupata kila kitu unachohitaji kwa ujenzi bila shida
0 comments
Write a comment