SITE ACTIVITIES
March 23, 20240
JE UNA NDOTO YA KUMILIKI KIWANJA CHAKO
SPC tumekurahisishia na mchongo ni kuja tu site kuona miradi yetu
- Unamiliki kiwanja kilichopimwa
- Unamiliki kiwanja kwa kulipa kidogo kidogo adi miezi 20
- Hati miliki kutoka wizara tunakupatia SIKU ZA KUONA VIWANJA VYOTE NI JUMATANO, JUMAMOSI NA JUMAPILI YA KILA WIKI’MUDA NI SAA TATU KAMILI ASUBUI, KARIBUNI SANA.
0 comments
Write a comment