SPC FULL PACKAGE
SPC FULL PACKAGE 📦
Tumeboresha huduma zetu, Sasa huduma zote unazipata kwetu.
Hii ndio dhana ya full package
Katika KIFURUSHI hiki, tunahakikisha mteja ANAPATA…
1. Kiwanja Kilichopimwa
Hapa tunahakikisha mteja anapata kipande Cha Ardhi Chenye mipaka halisi na ukubwa unaofaa kwa makazi ya mtanzania
2. Hati miliki
Hapa tunahakikisha mteja anapata nyaraka halali za Umiliki wa kiwanja husika, hii itamsaidia mteja Kuepukana na migogoro isiyokuwa ya Lazima
3. Ramani ya Nyumba
Hapa mteja atapata mchoro wa Nyumba anayoihitaji kulingana na ukubwa wa eneo lake, hii itaepusha usumbufu kwa mteja kutafuta msanifu majengo kwa ajili ya kumtengenezea ramani ya kiwanja chake
4. Kibali Cha ujenzi
Baada ya hatua zote mwisho kabisa tutahakikisha mteja wetu anapata kibali kwa ajili ya kuanza ujenzi kwenye eneo lake, hii itamsaidia Kuepukana na usumbufu wa kusimamishwa ujenzi au kubomolewa mjengo wake
Hii ni FULL PACKAGE 📦, vyote hivi unavipata kwetu kwa Bei nafuu Kabisa
0 comments
Write a comment