POLE KWA WAHANGA WA MAFURIKO TEGETA

Uongozi wa surveyed plots company limited unatoa pole kwa wahanga wote walifikwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa.

mungu awape nguvu wahanga wote katika nyakati izi ngumu, tunatoa ushauri kwa wanaoishi pembezoni mwa mito ya maji kuchukua tahadhari na kuhama maeneo hayo hatarishi, pia tunashauri kabda ya kununua kiwanja na kujenga, kufanya uchukua wa eneo husika na kujua historia ya eneo husika. Tupo pamoja kuwaunga mkono katika nyakati izi ngumu, asante.