MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA ARDHI
MAMBO BAADHI YA KUZINGATIA KABLA YA KUNUNUA ARDHI ( KIWANJA/ SHAMBA )
📍Tembelea eneo husika.
📍Hakiki matumizi ya eneo husika.
📍Fahamu mipaka halisi ya eneo.
📍Hakikisha eneo haliba migogoro yoyote.
Karibu SURVEYED PLOTS COMPANY LIMITED kwa huduma mbalimbali zinazohusiana na Ardhi:-
📍Uuzaji wa viwanja vilivyopimwa.
📍Upimaji wa maeneo.
📍Kufuatilia HATI MILIKI.
📍Kufuatilia vibali vya ujenzi.
📍Na huduma mbalimbali zinazohusiana na Ardhi ikiwemo USHAURI wa kisheria kuhusu Ardhi.
Kwa Mawasiliano zaidi
[NAMBA]
𝐌𝐖𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐓𝐎𝐖𝐄𝐑: 𝟏𝟑𝐭𝐡 𝐟𝐥𝐨𝐨𝐫, 𝐌𝐚𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐬𝐡𝐨- 𝐃𝐚𝐫 𝐞𝐬 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐚𝐦.
0 comments
Write a comment