LIVE EFM na TVE
Tulikuwa live efm na tarehe 19/3/2023 tutashiriki katika tukio la women in balance (KitchenPartyGala) ukumbi wa JC HALL MBEZI BEACH. sisi ni miongoni mwa wadhamini na tutatangaza offer kwa wanawake kuhusu kumiliki ardhi. endelea kufuatilia page zetu.