MWANAMKE WA SHOKA 2023
sisi kama spc tumedhamilia mwanamke ana miliki kiwanja chake, tumedhamini womens kitchen party gala kwa kutoa hamasa kwa wanawake kumiliki kiwanja.
sisi kama spc tumedhamilia mwanamke ana miliki kiwanja chake, tumedhamini womens kitchen party gala kwa kutoa hamasa kwa wanawake kumiliki kiwanja.
Tulikuwa live efm na tarehe 19/3/2023 tutashiriki katika tukio la women in balance (KitchenPartyGala) ukumbi wa JC HALL MBEZI BEACH. sisi ni miongoni mwa wadhamini na tutatangaza offer kwa wanawake kuhusu kumiliki ardhi. endelea kufuatilia page zetu.
Miliki sasa kiwanja kilichopimwa na hati miliki toka wizara ya ardhi.
SURVEYED PLOTS CAMPANY LIMITED TUNAWATAKIWA KHER SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
SURVEYED PLOTS CAMPANY LIMITED TUMESHIRIKI MBIO ZA MWAKA 2023 KAMA WADHAMINI NA KUWAPA ZAWADI ZA VIWANJA, WASHINDI WA KWANZA WA MBIO ZA KM 42